Niandae bajeti ya Shilingi ngapi ili niweze pata PC yenye specifications hizi

Niandae bajeti ya Shilingi ngapi ili niweze pata PC yenye specifications hizi

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
PC ninayohitaji ni HP EliteBook 850

Nataka nijitahidi nichukue mpya

Ram 4
HDD 500
icore 5 au kuendelea
Iwe Touch screen
Iwe na Webcam
Processor speed iwe 2.5-2.9 GHz
Iwe na port kuanzia 3 za USB

Je hapo niandae Shilingi ngapi maana mpaka sasa nimefikisha laki3 lakini malengo yapo ya kuchukua PC yenye specifications hizo.
 
PC ninayohitaji ni HP EliteBook 850

Nataka nijitahidi nichukue mpya

Ram 4
HDD 500
icore 5 au kuendelea
Iwe Touch screen
Iwe na Webcam
Processor speed iwe 2.5-2.9 GHz
Iwe na port kuanzia 3 za USB

Je hapo niandae Shilingi ngapi maana mpaka sasa nimefikisha laki3 lakini malengo yapo ya kuchukua PC yenye specifications hizo.
Kuanzia Tsh 800,000

Cc Chief-Mkwawa
 
PC ninayohitaji ni HP EliteBook 850

Nataka nijitahidi nichukue mpya

Ram 4
HDD 500
icore 5 au kuendelea
Iwe Touch screen
Iwe na Webcam
Processor speed iwe 2.5-2.9 GHz
Iwe na port kuanzia 3 za USB

Je hapo niandae Shilingi ngapi maana mpaka sasa nimefikisha laki3 lakini malengo yapo ya kuchukua PC yenye specifications hizo.
Pc ya kawaida sana hii hata 450,000 used unapata....

Hivi kwanini upende touch screen?
 
Hakuna specifications ulizoweka hapo!Hapo ukikutana na mjanja anakupiga vizuri sana,mfano atakuuzia i5 ya generation ya kwanza yenye herufi Y mwishoni kwa laki sita!Nenda kwenye uzi wa Chief mkwawa unaoitwa "muongozo wa kununua vifaa vya intel" ili ukajifunze specifications za PC huko tofauti na hapo utaishia kupigwa tu!

Huu hapa:👇
 
Hakuna specifications ulizoweka hapo!Hapo ukikutana na mjanja anakupiga vizuri sana,mfano atakuuzia i5 ya generation ya kwanza kwa laki tano!Nenda kwenye uzi wa Chief mkwawa unaoitwa "muongozo wa kununua vifaa vya intel" ili ukajifunze specifications za PC huko tofauti na hapo utaishia kupigwa tu!

Huu hapa:👇
Sawa
 
Huwezi pata i5 mpya chini ya milioni 1,

I3 zenyewe siku hizi zina anzia laki 9.

Option hapo ni used tu.

Kwa hizo specs used ni ku tafuta, touch screen ndio itakuchelewesha ila pia inapatikana. Around laki 3 unapata used gen za zamani.
Unaposema generation ya zamani ni kuanzia mwaka gani
 
Back
Top Bottom