Kuanzia Tsh 800,000PC ninayohitaji ni HP EliteBook 850
Nataka nijitahidi nichukue mpya
Ram 4
HDD 500
icore 5 au kuendelea
Iwe Touch screen
Iwe na Webcam
Processor speed iwe 2.5-2.9 GHz
Iwe na port kuanzia 3 za USB
Je hapo niandae Shilingi ngapi maana mpaka sasa nimefikisha laki3 lakini malengo yapo ya kuchukua PC yenye specifications hizo.
Kwa hiyo mkuu inaweza ikazidi zaidi ya hapo?
Pc ya kawaida sana hii hata 450,000 used unapata....PC ninayohitaji ni HP EliteBook 850
Nataka nijitahidi nichukue mpya
Ram 4
HDD 500
icore 5 au kuendelea
Iwe Touch screen
Iwe na Webcam
Processor speed iwe 2.5-2.9 GHz
Iwe na port kuanzia 3 za USB
Je hapo niandae Shilingi ngapi maana mpaka sasa nimefikisha laki3 lakini malengo yapo ya kuchukua PC yenye specifications hizo.
Nataka mpya, sitaki usedPc ya kawaida sana hii hata 450,000 used unapata....
Hivi kwanini upende touch screen?
Huwezi pata i5 mpya chini ya milioni 1,Nataka mpya, sitaki used
SawaHakuna specifications ulizoweka hapo!Hapo ukikutana na mjanja anakupiga vizuri sana,mfano atakuuzia i5 ya generation ya kwanza kwa laki tano!Nenda kwenye uzi wa Chief mkwawa unaoitwa "muongozo wa kununua vifaa vya intel" ili ukajifunze specifications za PC huko tofauti na hapo utaishia kupigwa tu!
Huu hapa:👇
Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel
Computer nyingi tunazonunua huwa zinatumia processor za intel au amd, lakini ni intel ambaye ametawala sana kushinda amd kwenye computer zetu. Leo nimeamua niandike uzi huu kuhusu hizi processor za intel na namna ya kuzichagua ili kuwasaidia watu wanapotaka kununua laptop/desktop mpya wafanye...www.jamiiforums.com
Unaposema generation ya zamani ni kuanzia mwaka ganiHuwezi pata i5 mpya chini ya milioni 1,
I3 zenyewe siku hizi zina anzia laki 9.
Option hapo ni used tu.
Kwa hizo specs used ni ku tafuta, touch screen ndio itakuchelewesha ila pia inapatikana. Around laki 3 unapata used gen za zamani.
Gen Ya 4 kushuka.Unaposema generation ya zamani ni kuanzia mwaka gani