Niandae mtaji kiasi gani ili kuanzisha duka kama hili?

Niandae mtaji kiasi gani ili kuanzisha duka kama hili?

feedh

Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
16
Reaction score
134
Habari wakuu,

Naomba kujua kwa wale wenye experience ya maduka ya mangi kama nitakaloliambatanisha hapo kwenye picha ,kuanzisha inahitaji mtaji wa shingapi ? Imechukua frame mbili hiyo.

Asante

IMG_9275.jpg
 
kwa wajuzi wa mambo ya hizi kazi hapo si chini ya million 10 ikipelea saana 8
 
Anaonekana ostadh hapo na daftari lake kuomba ujenzi wa msikiti....kwa tathimini yangu hilo duka ni kuanzia milion 10
Hapa kwenye kaofisi kangu kitaani daily wanakuja na vidaftari Vya michango
 
Habari wakuu,

Naomba kujua kwa wale wenye experience ya maduka ya mangi kama nitakaloliambatanisha hapo kwenye picha ,kuanzisha inahitaji mtaji wa shingapi ? Imechukua frame mbili hiyo.

Asante

View attachment 2889942
Ongea na mangi hapo dukani ulipopiga picha mkuu
 
Unauliza mtaji wa bidhaa au pamoja na jengo???
 
Kitu ambacho wengi hawajui kuhusu duka la mangi na kila siku wanakuambia haina faida???
In short Lina faida tena sana kwa wewe mtafutaji mwenye nidhamu
 
kuna wawili walinikuta dukani na yeboyebo zao nikawauliza munatokea wapi wakasema kondoa sasa fikiria kutoka kondoa hadi mtwara nauli bei gani nikawatimulia mbali wajinga wale
Hao wakondoa walikuwa wanatafuta pesa kli wavuke boda kwenda msumbiji kuungana na wale ndugu zao magaid
 
Anaonekana ostadh hapo na daftari lake kuomba ujenzi wa msikiti....kwa tathimini yangu hilo duka ni kuanzia milion 10
Heshima ni kitu nadra kwako. Chuki imejenga mzinga moyoni mwako. Utapata taabu sana maishani
 
kwa uzoefu wangu nilonao kwenye maduka ya reja reja andaa 20m maana hilo duka ni mfano wa mini supermarket isiyokuwa na shelves.
 
Back
Top Bottom