Erick tryphone
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 387
- 84
Niangalizieni jina la FRANK BAHATI ambae kasoma BUKOLI na WLFRED.N.SHAKTULI ambae kasoma st karoli kama wamechaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unashindwa kujieleza kijana???tukuangalizie km wamechaguliwa kwenda jeshini?,kwenda kazini,TCU,vyuo vya ualim ?kwenda fom 5 au?????
Unashindwa hata kujieleza ukaeleweka!!!
Kuwa muelewa sio unakurupuka kama njiwa aliyeota mabawa jana...kijana kajieleza kwa umakini bila chenga sasa sijui yeye na wewe ni yupi hawezi kujieleza
Kuwa muelewa sio unakurupuka kama njiwa aliyeota mabawa jana...kijana kajieleza kwa umakini bila chenga sasa sijui yeye na wewe ni yupi hawezi kujieleza