Erick tryphone
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 387
- 84
Mbona unashindwa kujieleza kijana???tukuangalizie km wamechaguliwa kwenda jeshini?,kwenda kazini,TCU,vyuo vya ualim ?kwenda fom 5 au?????
Unashindwa hata kujieleza ukaeleweka!!!
Kuwa muelewa sio unakurupuka kama njiwa aliyeota mabawa jana...kijana kajieleza kwa umakini bila chenga sasa sijui yeye na wewe ni yupi hawezi kujieleza
Kuwa muelewa sio unakurupuka kama njiwa aliyeota mabawa jana...kijana kajieleza kwa umakini bila chenga sasa sijui yeye na wewe ni yupi hawezi kujieleza