Niangukie wapi kati ya Brevis na Rav 4(kili time)

Niangukie wapi kati ya Brevis na Rav 4(kili time)

freddymruma

Member
Joined
Mar 13, 2016
Posts
27
Reaction score
21
Nilikua na altezza nikauza sasa nahitaji ushauri kati ya Brevis na Rav 4 kili time niangukie wapi..[emoji42]
 
Sasa kwenye brevis unataka ufate nini?
Hujachoka kuangaliwa kwenye foleni?
Chukua ya juu uwaangalie wenzio. GAri za juu zina raha yake nazo.
 
What you think i Rap for tu push f.....Rav 4?..Kanye west line on We Run this town.

By the wy chukua Rav 4 kdogo uwe up there sio kila cku chinichini
 
Brevis gari nzuri na comfortable sana ndani kuliko Rav 4.

Sema Brevis ni gari ya Mapito. Baada ya miaka 2 ukitaka kuiuza utapata shida.
 
Back
Top Bottom