kama una mshahara take home 1.2, acha papara, jipe muda, usave peasa, lets say unasave laki saba kwa mwezi kuanzia january hadi december mwaka huu, utakuwa na 8.4m, hizo pesa unaweza kupata kiwanja nje kidogo ya mj kwa 3m na hiyo inayobaki ambayo ni 5.4 unaweza ukaongezea by februray 2012 ukajiopolea kivitz chako. Ukaendelea kusave hivo hivo, by dec 2012 unaanza kuweka msingi wa kujenga nyumba n so on. cha muhimu acha papara, jipange. kuna watu wanalipwa laki tatu kwa mwezi na wanasurvive, kwa vile uko single, hiyo laki tano kwa mwezi inakutosha kusurvive na hata kusupport familia yako. all the best.
carmel;