Nianze kununua kipi?


I second you! Mimi nilinunua kwanza kiwanja, then gari, then nikaja kujenga somewhere else! Kile kiwanja hata sijaenda miaka 3 sasa !!!
 
hapa ndo watakuchezesha hyo akili yako na hutopata kabias konklushen.we ushasema kabisa kua ni mata ya priority.hilo ndo jibu.
 

nunua kiwanja kwanza ujenge. Unataka hilo gari ulilaze kwa jirani?
Mafuta na services zitapunguza pato lako.
Ushafikiria umenunua gari leo kesho limepata ajali? Kwa pesa ya mawazo usikimbilie hivyo vitu.
 
kama upo dar,,, gari ni lamuhimu kwanza,,, gari unaweza kupata kwa bei ndogo,, but kiwanja cha maana kwa sasa lazima ujipange kikweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…