Mimi sihangaiki kuwatenga. Wacha wakae nao, kama unawalisha vizuri kuku hawachelewi kuanza kutaga tena na akishaanza kutaga lazima awaache tu hao wengine. Heri risk ya kuku kukaa na vifaranga akachelewa kurudia round kuliko kuwatenga mapema kabla manyoya hayajaota vizuri.Kubwa la kujifunza ni namna ya kulea vifaranga. Mwezi uliopita nimepoteza takribani vifaranga 35, iliniuma sanaaaa! Mwisho niligundua makosa yangu kwani niliwatenga na mama zao mapema mno wiki 2 hivi nikawaweka kwenye box huku niwawashia chemli.
Kubwa la kujifunza ni namna ya kulea vifaranga. Mwezi uliopita nimepoteza takribani vifaranga 35, iliniuma sanaaaa! Mwisho niligundua makosa yangu kwani niliwatenga na mama zao mapema mno wiki 2 hivi nikawaweka kwenye box huku niwawashia chemli.
Kweli kabisa! Nilishawahi waacha na mama zao kabla ya hao waliokufa hakika zaidi ya robo tatu wapo mpaka sasa na umri wa miezi mitatu na ndio wanaoniaminisha kwamba mafanikio yanaweza kupatikana.Mimi sihangaiki kuwatenga. Wacha wakae nao, kama unawalisha vizuri kuku hawachelewi kuanza kutaga tena na akishaanza kutaga lazima awaache tu hao wengine. Heri risk ya kuku kukaa na vifaranga akachelewa kurudia round kuliko kuwatenga mapema kabla manyoya hayajaota vizuri.
Pole sana mkuuKweli kabisa! Nilishawahi waacha na mama zao kabla ya hao waliokufa hakika zaidi ya robo tatu wapo mpaka sasa na umri wa miezi mitatu na ndio wanaoniaminisha kwamba mafanikio yanaweza kupatikana.
Habari waungwana. Nawasilisha kama nilivyoulizwa
""Nina Tshs 400000 [laki nne].Ninataka nianze kufunga kuku japo sijui A wala B kuhusu ufugaji.
Je nianze na kuku wa aina gani kati ya wa kienyeji au broiler?
Naomba ushauri kwa kuzingatia gharama za uendeshaji, mtaji wa kuanzia, soko na mengine mengi ambayo siyafahamu.""
Uko wapi mkuuKama mazingira ya kutunzia vifaranga na baadaye kuku unayo tayari. Nunua vifaranga 100 kwa lak2 vifaranga vya kienyeji ambavyo havina usumbufu. Mimi nitakusupply kwa 170000. Utabaki na 230000 hii iwe mtaji wa kulisha na madawa for the first time. Tunza kwa miezi 4 afu uza. Inategemea uko wapi pia