Nianze na nini wadau nimechoka kuishi kishamba.

baraka bb

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
2,691
Reaction score
3,884
N aje ni vip ?
Husika na somo tajwa hapo juu.. me ni kijana chini ya miaka 30 nimepanga chumba kimoja huku Tembon kipato changu cha kawaida sana under10k per day.
sasa bhana nisiwachoshe wala msinichoshe nataka nianze kuishi kijanja yaan ile kidaslaaam. nataka nianze na pombe niwe naweka gheto je ni pombe gan nzuri niwe nakunywa izi za wine lakin sio bia .

alfu nipate na mtt mkalee awe anakuja gheto tunashinda wote awe mjanja yaan tunagonga wine mdgo mdgo mastory kama yote sio uyu demu nilieachana nae kapooza kinouma hata pombe hanywi tumejza chupa za soda tu ndani had nahis kisukari..
Wenu Mtiifu katika kujenga Tanzania ya Viwanda
 
Anza kutengeneza 100k per day
Then Hama huko kwa Tembo
Stay somewhere closer to the beach
Alaf soma sana na kuwa mcha Mungu
Then utaona maisha yanakuwa Marahisi
 
Kuna siku utamkumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…