Nimejichanga huku na kule nimepata millioni moja mkononi, plan yang ni kufanya biashara ila sijajua biashara gani itanilipa vizuri. Napatikana Kibaha Mjini, nakaribisha maoni na ushauri pia juu ya aina ya biashara itakayo nitoa. Umri miaka24 (muhitimu wa shahada yakwanza ya ualimu elimu maalum).
Note: Sihitaji kufanya temporary teaching, kwan hainilipi ingawa ni mwalimu wa Mathematics