Bashiru Juma
New Member
- Jan 6, 2013
- 1
- 0
Nimezaa na mdada ambaye kiukweli ckuwa na wala cna malengo naye kimaisha, cwezi sema ni bahati mbaya no! Ila nihali ambayo unapofanya ni kama hujitambui vile.ishu nikwamba naishi mbali na mchumba wangu kwa sa7bu ambazo ziko nje ya uwezo, mi nafanyakazi sehemu nyingine na yy ansoma sehm nyingine xo matarajio ni kwamba amalize kuxoma ndo tufanye marriage. Nampenda mchumba wangu, hoja ni kwamba nataanzaje kumwambia kwamba eti nina mtoto....!! Nahitaji ushauri wenu waungwana.