Bashiru Juma
New Member
- Jan 6, 2013
- 1
- 0
Nimezaa na mdada
ambaye kiukweli ckuwa na wala cna malengo naye kimaisha, cwezi sema ni
bahati mbaya no! Ila nihali ambayo unapofanya ni kama hujitambui
vile.ishu nikwamba naishi mbali na mchumba wangu kwa sa7bu ambazo ziko
nje ya uwezo, mi nafanyakazi sehemu nyingine na yy ansoma sehm nyingine
xo matarajio ni kwamba amalize kuxoma ndo tufanye marriage. Nampenda
mchumba wangu, hoja ni kwamba nataanzaje kumwambia kwamba eti nina
mtoto....!! Nahitaji ushauri wenu waungwana.