nakuunga miguu na mikono...............tawire babaaMkuu ushauri utaupata kwenye thread flani hivi ya Bujibuji mana ni matatizo yanayofanana,kwa upande wangu kuna ushauri Afrodenz aliutoa kwamba njia nikumlengesha boyfriend wake,yaani mnajifanya mnaenda kupata moja baridi moja moto hizo sehemu bila we kumwambia chochote,so wakigongana uso kwa usoni ndo solution itapatikana.
Mkuu ndo maana nimekuambia unaweza kuja onekana mbeya baadae na mnafiki wawili wanpendanao watakapotupilia mbali tuhuma zako na kuendelea na mambo yao
Kuwa makini sana bora umkamatishe moja kwa moja ajionee mwenyewe na siku unaenda kufanya hayo wala haina haja kumwambia ni yeye ajionee mwenyewe na wewe vile vile unajifanya kushangaa na kushtuka
Ila unamwambia mimi nakuja hapa kwa starehe zangu ila hujawahi kushuhudia hayo
hapo nimekubali mkuu. Dawa nimlengeshe. Ila sasa sijui atakuwa anakuja lini na wakati gani, mana mi kukutana nae hapo ni koisidens ya muda ndo mana namkutaga. Labda tuende hapo daily kuvizia.
1. Chukua namba ya huyo jamaa wa mapokezi incase siku wakija akufahamishe in advance well you can tip him/her some little amount of money
2. Binti anaweza kubadilisha kiwanja baada ya kuwa amegundua kuwa umeishambamba tayari
3. Muulize jamaa yako kama anaweza akaweka GPS locator kwenye simu ili ajue GF huwa anakuwa wapi, its possible sema wengi wetu hawajui how it works
NB: Usimwambie kuwa mimi ndio nimekupa huu ujafanja
nakuunga miguu na mikono...............tawire babaa
Mkuu i'm sorry nipo nje ya mada kimtindo....hiyo GPS locator inategemea aina za simu?halafu locater yenyewe itakuwa inaonyesha direction tu alipo?au mpaka unapompigina ndo inaonyesha mana kuna mazingira may be akazima simu
GPS locator ukiwa unampigia simu inaonyesha exactly at that point in time yuko wapi, its works with Nokia, Blackberry Samsung, IphoneMkuu i'm sorry nipo nje ya mada kimtindo....hiyo GPS locator inategemea aina za simu?halafu locater yenyewe itakuwa inaonyesha direction tu alipo?au mpaka unapompigina ndo inaonyesha mana kuna mazingira may be akazima simu
Dah!! Kama jamaa yako ni mbishi basi bora kumuacha labda akigundua ambapo itakuwa too late labda ndio ataelewanikiomba namba ya simu ili anipe taarifa za huyo demu sio rahisi anipe, mana hapo ni kama anafukuza wateja. Na wala sikumwambia mtu wa kaunta kuwa namfahamu huyo demu. Gps locator tena? Mi nshampaga angalizo la juu juu kuwa, embu mpelele GF wako, mwenyewe mbishi kweli.
kama keshakuona na bado anakuja hapo, anakutaka huyo. mzingue kiutani uone kama hatakupa penzi ili uendelee kuficha sirinikiomba namba ya simu ili anipe taarifa za huyo demu sio rahisi anipe, mana hapo ni kama anafukuza wateja. Na wala sikumwambia mtu wa kaunta kuwa namfahamu huyo demu. Gps locator tena? Mi nshampaga angalizo la juu juu kuwa, embu mpelele GF wako, mwenyewe mbishi kweli.
kama keshakuona na bado anakuja hapo, anakutaka huyo. mzingue kiutani uone kama hatakupa penzi ili uendelee kuficha siri
Dah!! Kama jamaa yako ni mbishi basi bora kumuacha labda akigundua ambapo itakuwa too late labda ndio ataelewa
lakini kama huyo dada kamuona rafiki wa jamaa anaweza kubadili kiwanja pia...
unaweza fikiri unamsaidia rafiki
ukajikuta unasutwa na heshima yako inashuka
ukishindwa kaa kimyaa tu
nkishindwa ntapiga kimya mkuu.
Lakini ni lengo langu jamaa ajue true colour ya gf wake.
GPS zinapatikana wapi mdau naiataji niwe namtrap m2 wangu maeneo yake1. Chukua namba ya huyo jamaa wa mapokezi incase siku wakija akufahamishe in advance well you can tip him/her some little amount of money
2. Binti anaweza kubadilisha kiwanja baada ya kuwa amegundua kuwa umeishambamba tayari
3. Muulize jamaa yako kama anaweza akaweka GPS locator kwenye simu ili ajue GF huwa anakuwa wapi, its possible sema wengi wetu hawajui how it works
NB: Usimwambie kuwa mimi ndio nimekupa huu ujafanja
yaani ndo hivo,unaenda kumwambia live baadaye unakuta wakipatana unaonekana we mbea na mnafiki halafu wote wanakuwa adui zako