Nianzie wapi kumwambia kuwa GF sio mwaminifu?

muonye binti wewe mwenyewe kwa kuwa mmeshakutana huko kwenye uzi... wenu. Asiposikia unyamaze milele
 

Ebwana hii kitu inafanya kazi kwa Tanzania kweli? inafanyaje kazi mkuu hebu nieleze maana najua kwa nchi zilizoendelea ndipo inapofanya kazi
 
jamani ndoa ni looooong commitment,mimi ningemwambia,kwani huyo jamaa akijua kama rafiki anajua,si atamuona mbaya?asimshauri cha kuamua ila ni vizuri aujue ukweli.na huyo dada jamani,dec atavishwa pete na yeye ndio anafanya upuuzi huo.huyo ndoa hatoiweza
 
mrekodi kisirisiri huyo msichana,kaa nae na umuulize kwa nini anafanya hivyo?na umuambie sio mara ya kwanza kumuona hiyo lodge,huo pia ushahidi,maana saa nyengine maneno bila ushahidi,hayaaminiki.huyo msichana anaweza akamwambia huyo rafiki yako kuwa umemtongoza,na yeye kwa kuwa anampenda mno,anaweza akamuamini huyo msichana
 
Kama kweli jamaa ni rafiki yako wa dhati mwambie A to Z bila kumumunya maneno aisee!Unaposimama kwenye ukweli usifikirie matokeo yake,vinginevyo urafiki wenu ni wamashaka.

Natamani sana hata kwa kujisahau nimwambie ukweli wote, kwa sababu ni kwa faida yake, lakini ni kama nlivosema type yake ni mbishi sijapata ona. Sijui nimpige biti GF wake kuwa AACHE TABIA yake iyo, otherwise ntamwambia jamaa?
 

unajua kisukari, kuna mtu unaweza kumwambia straight kabisa, tena sababu ya ukaribu wetu. Lakini jamaa kapofuka na kumpenda binti, yani anavosifiaga tabia yake kuwa nzuri, mtaratibu na mwaminifu. Mi huwa nainamisha kichwa tu.
Sasa leo out of no where umwambie GF wako anamegwagawa? Atakuona mmbea. Na mabint wa siku hizi hatachelewa kusema nlitaka akanikatalia ndo mana namsingizia.
 
Best way ntakuwa nampeleka peleka jamaa pale lodge tuwe kama tunakunywa. Najua hawaza mbali sana, mana anajua napendaga sehemu hazina kelele na watu wengi kama hapo. siku akigongana na Demu wake, namimi itakuwa MISSION ACLOMPLISHED.
 

Ahhaha mwenzangu unaogopa kusutwa lol!
 
Tafuta line mpya ya simu, muandikie message huyo jamaa wako maelezo yote kuhusu GF wake, halafu mwambie na yy achunguze, usimwambie ww ni nani! kisha itupe line hiyo.
 
lakini kama huyo dada kamuona rafiki wa jamaa anaweza kubadili kiwanja pia...
Hawezi hadili kiwanja yawezekama kabisa huyo jamaa ane enda naye kwenye hiyo lodge amepewa nafasi ya kwanza yaana anajijua kwamba yupo peke yake kwa hali hiyo basi mdada akimwambia wabadilishe sehemu jamaa lazima aingie wasiwasi.dah ila imaumaa!!!!!!!!!!!!!!
 
muonye binti wewe mwenyewe kwa kuwa mmeshakutana huko kwenye uzi... wenu. Asiposikia unyamaze milele
kunyamaza atakuwa anaharibu maana tayari binti anapepo la uharibifu hata akimuonya haitasaidia kinachotakiwa ni kumlengesha tu kwa jamaa yako harafu yeye akisha jionea ni uamzi wake sasa kunyoa au kusuka. maana ndoa ni msalaba sasa inategemea utakuwa mzito au mwepesi
 
Just mind yo own business coz ata uyo rafki ako anaeza kua ana mambo yake vilevile..nobody is perfect in this evil world..drop the issue
 
Unatoa maujanja halafu unakaa pembeni...ahaaa unafikiri nani anapenda kusutwa lol...naogopa kuletewa matarumbeta na kadogoli

we mwenyewe umeona.
Wakati mwengine unaweza ukajifanya mwema, mwisho ukatengwa kama Mmbea.
Inabidi uchanganye akili.
 
Just mind yo own business coz ata uyo rafki ako anaeza kua ana mambo yake vilevile..nobody is perfect in this evil world..drop the issue

wakati naona kabisa jamaa ana danganywa na mimi nipige tu kimya?
Roho inaniuma.labda wewe mwenzangu hujali watu wako wa karibu.
 

nimlengeshe straight, sasa suala ni kama GF wake atatokea wakati sisi tupo pale.
Ila hii lazima nifanye. Nitahudhuria nae pale mpaka kieleweke.
 

kama kampa jamaa huyo anayemmega nafasi ya kwanza?
Kwanini anampotezea mshkaji time na pete atamvalisha hii desemba
 
Just mind yo own business coz ata uyo rafki ako anaeza kua ana mambo yake vilevile..nobody is perfect in this evil world..drop the issue

Lisa Rina , hivi wewe ni mrembo kama picha hiyo kwenye avator yako?
 
we acha tu kwa kuwa ushagundua mwenzio kapenda sana, usije kuharibu uhusiano wo, pamoja na uhusiano wa wewe na rafiki yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…