Just mind yo own business coz ata uyo rafki ako anaeza kua ana mambo yake vilevile..nobody is perfect in this evil world..drop the issue
kama ni jamaa yako wa karibu sana mathalan ni kaka au dogo au undugu wowote wa karibu,its better umwambie mapema hasifanye maamuz ya kumwoa maana hivi tu ni gf wake na anamegwa kama kawa,jamaa ataletewa magonjwa then mwisho wa siku mtampoteza ndugu yenu halafu baadae uje ujute kuwa kwanini hukumwambia ishu hiyo.lakini pia kama unasita kumweleza jamaa,its better umpeleke live siku 1 akashuudie mwenyewe na afanye maamuzi mwenyewe.ni hayo tuu
Kama ni mimi nisingefanya chochote. Angekuwa jamaa yako ndio ana kimchumba pembeni ungeenda kusema kwa huyo mdada?
create email adress yako ambayo haijui andika majina hayajui mpe picha nzima mwambie na sehemu demu wake anapoliwa
na mwambie asuke mpango na mtu wa ccounta ampe uchache kiasi ili atakapokuja amshtue mshikaji ashuhudie muvi nzima
akikushiriksiaha jifanye hujui lolote kabisa tena umpinge shemeji hayuko hivo huku nawe ukiandaa mkakati wa kushikisha live fumaninzi
mwambie valid. Mambo ya mahusiano usijiingize mazima. Anaweza akasema na bado jamaa akamuoa vile vile. Aibu yake.
we husninyo acha maneno yako, yani anataka kusema nafanya vibaya?
Jamaa anamuamini huyo demu wake mnooooo,kiasi nkinyamaza kimya itakuwa DHAMBI kwangu.
Hiyo ni plan b ya gf wa jamaa yako, in case jamaa akimpiga chini. Akiendelea baada ya ndoa ndio fanya maarifa ya kumwambia au kumwonyesha.
Btw hiyo lodge ina bar ya residents tu, we unaenda fanya nini hapo?
mi najua huna nia mbaya ila angalia hayo mambo yasikuumbue. Hebu fikiria unamwambia mshkaji anagombana na mtu wake halafu siku mbili tatu wamerudiana. Sura yako utaiweka wapi? Unaweza ukajikuta hata urafiki wenu unavunjika.
Nunua basi line mpya umtumie sms jamaa yako kwamba demu wake si muaminifu aanze kuchunguza then tupa line
nlimwambiaga kwa mdomo kuwa mchunguze na mpeleleze demu wako. Wala hataki sikia hiyo mamboa. KUPENDA SANA KUNAKUPA UPOFU.
Finest popote pale ulipo naomba unifundishe iyo maneno ya gps locator kuna mtu amezidi kunidanganya
Finest popote pale ulipo naomba unifundishe iyo maneno ya gps locator kuna mtu amezidi kunidanganya