Nianzishe mtaji gani kwa kutumia pesa hizi...?

Nianzishe mtaji gani kwa kutumia pesa hizi...?

bikira mimi

Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
24
Reaction score
11
Nasoma mwaka wa pili katka chuo kikuu kimoja hapa Mwanza na pia nanufaika na mkopo kutoka HESLB.

Je kwa kutumia pesa za mkopo ambazo ni 450,000 kila baada ya miezi miwili naweza kuanzisha mtaji gani au biashara?
 
Ujaeleweka,una maanisha uanzishe biashara gani au?
 
Mkuu, agiza printer ndogo ya cannon, rim paper zakutosha na binding clips pamoja na card boards anza kazi ya kuprint na kubind assignments pamoja na reports hapo room kwako. Ukimaliza shule kumbuka kurudisha mkopo wadogo zako wanahitaji kusoma japo hali sio nzuri saaana!:yo:
 
Inategemea wewe unaweza kufanya nini na mazingira unayotaka kuanzisha hiyo biashara yanahitaji nini. Kwa kiasi kikubwa kwa laki 4 inabidi ufanye biashara ambao wewe mwenyewe utashiriki kwa 100%
 
Mkuu, agiza printer ndogo ya cannon, rim paper zakutosha na binding clips pamoja na card boards anza kazi ya kuprint na kubind assignments pamoja na reports hapo room kwako. Ukimaliza shule kumbuka kurudisha mkopo wadogo zako wanahitaji kusoma japo hali sio nzuri saaana!:yo:

Wazo zuri ila inabidi uwe na computer au laptop. kama unayo, fanyia kazi hili wazo.
 
Nasoma mwaka wa pili katka chuo kikuu kimoja hapa Mwanza na pia nanufaika na mkopo kutoka HESLB.

Je kwa kutumia pesa za mkopo ambazo ni 450,000 kila baada ya miezi miwili naweza kuanzisha mtaji gani au biashara?

Uanzishe mtaji au mradi? Pili mbona boom zima unaliwazia biashara umejiuliza utakula nini?
 
Good idea, ila unatafuta biashara ya kufanya kwa huo mtaji wa 4.5 au unampango wa kuzichanga au pia unampango wa kugawa za matumizi hapohapo? Jaribu kufunguka ili upate ushauri mzuri zaidi. Kama vp mm nina ungana na idea ya mwanaisha. GUD LUCK
 
Back
Top Bottom