bikira mimi
Member
- Feb 15, 2013
- 24
- 11
Mkuu, agiza printer ndogo ya cannon, rim paper zakutosha na binding clips pamoja na card boards anza kazi ya kuprint na kubind assignments pamoja na reports hapo room kwako. Ukimaliza shule kumbuka kurudisha mkopo wadogo zako wanahitaji kusoma japo hali sio nzuri saaana!:yo:
Nasoma mwaka wa pili katka chuo kikuu kimoja hapa Mwanza na pia nanufaika na mkopo kutoka HESLB.
Je kwa kutumia pesa za mkopo ambazo ni 450,000 kila baada ya miezi miwili naweza kuanzisha mtaji gani au biashara?