Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wakati umati umejazana uwanja wa taifa kusubiri mpambano wa simba na yanga habari zilizotufikia punde zinasema
klabu ya simba imetangaza kutoingiza timu ile iliokuwa ikicheza na kuapa kuchezesha timu iliokamilika
tofauti na wakati wakicheza na timu nyingine
msemaji wa taarifa anasema simba imejipanga kweli baada ya kuhofu kupanga kikosi cha dharau na hivyo
kuweka mazingira tatanishi
kazi ipo
kidumu simba