ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Napoishi ni karibu sana na beach ya bahari ya hindi almost mita 300 hivi pia ni karibu na chuo cha afya chenye wanafunzi kama 1000..sasa nimeona kuliko kukaa tu nyumbani au kwenda kunywa pombe kwenye ma bar na mwisho kugombana na watu nimepanga baada ya kutoka ofisini saa tisa na nusu niwe naenda kushinda beach na shemeji yenu mpaka saa 1 jioni ndo tunarudi home kupika na kulala.
Na Sio kukaa tu beach bali pia kufanya mazoezi na kuogelea hapohapo ninataka pia kuanzisha ka meza cha biashara maana hawaruhusu kujenga kibanda pande za beach wamepahifadhi wanataka labda kameza temporary cha kuweka na kuondoka nacho na uzuri hamna anayefanya bishara yoyote sina mshindani maana hawana mazoea hayo ya kufanya miradi mimi ndo nitakuwa wa kwanza nataka niuze culture za kuvaa,vitu vya urembo,karanga,pipi,chocolate na vingine vidogovidogo vya kubebeka kwenye begi ambavyo ningependa UNISHAURI vya kuongezea vinavyopendwa na watu hasa wanafunzi kwa mazingira ya beach..pia labda na kukodisha vifaa vya kuogolea kama mapira,nguo za kuogelea ,miwani n.k...pombe na sigara shemeji yenu ananiambie nisiweke kwani nitaweza kuvimaliza mwenyewe na pia ikionekana wanafunzi wanakunywa na kuvuta kwangu huenda nikapigwa fitina nikazuiwa nisiueze maeneo hayo.idea ndo hiyo nakuwa na enjoy mwenzenu kuogelea si mnajua ilivyo raha huku naokota okota vi mia mbili..mnaonaje wakuu hilo wazo