Zipo kona ambazo hata tume ya Uchaguzi haipenyi. Kama Karatu na Pemba huko hakuna ujanja. Ukweli naamini zaidi katika mgombea kuliko chama. Mf kina mama Kilango na wengine kutoka watawala na wapo wapinzani wamesinzia pia. Naomba hoja zenu wana JF ili hii mizania hapo mwakani twende sawaHaijalishi utachagua nini - tume ya uchaguzi ndiyo ina mamlaka ya kuamua mshindi kwenye chaguzi za Tanzania.
Kwahiyo tuamini kwamba Watanzania wote tunaweza kujenga kwa kuchagua CCM? Mbona wengi hawana makazi basi? Naomba nieleweke kura yangu anapewa yule mwenye nia ya kuikomboa nchi na si maslahi yangu binafsi. Naamini nikiinufasha nafsi yangu siepuki matatizo yanayonizinguka mf miundombinu nkKama bado hujajenga,unatafuta shamba ,kiwanja au leseni ,au una mipango yako ambayo inakubidi upitie kwenye mawizara ya serikali na taasisi zake na unahitajia fedhaa nyingi sana basi ichague CCM unaweza kufanikisha yote hayo japo kwa robo ya gharama au ukafanyiwa mambu yako hata bila ya wewe kuinua mguu na kuletewa hapo hapo nyumbani na aliekufanyia ukampa takirima na akaridhika kabisa tena ukishafanikisha kura yako usiipeleke tena kwa CCM.
Mbona unajikanyaga umetaka ushauri ,tumekushauri kila mmoja na rai yake ,umedai kwenye chaguzi za Rais ,mara wabunge mara Pemba,sasa nakushauri bora uanze na udiwani.Kwahiyo tuamini kwamba Watanzania wote tunaweza kujenga kwa kuchagua CCM? Mbona wengi hawana makazi basi? Naomba nieleweke kura yangu anapewa yule mwenye nia ya kuikomboa nchi na si maslahi yangu binafsi. Naamini nikiinufasha nafsi yangu siepuki matatizo yanayonizinguka mf miundombinu nk
Bila ya shaka yeyote inategemea mbinu zako tu,Tanzania imeshakombolewa zamani sasa tunakula matunda ya uhuru 😀Kwahiyo tuamini kwamba Watanzania wote tunaweza kujenga kwa kuchagua CCM? Mbona wengi hawana makazi basi? Naomba nieleweke kura yangu anapewa yule mwenye nia ya kuikomboa nchi na si maslahi yangu binafsi. Naamini nikiinufasha nafsi yangu siepuki matatizo yanayonizinguka mf miundombinu nk
Inawezekana sikujieleza vya kutosha. Kwenye chaguzi naongelea ngazi zote. Mwanzoni nilisema chaguzi za rais ili kuonyesha time frame lakini si specific kwenye kura za rais. Nashukuru kwa rai yako, lakini lengo hasa si kujenga na kupita wizarani lakini kumpa yule au chama( kutegemea na maoni ya hoja) chenye(mwenye) malengo ya kuwanasua watanzania katika lindi la umasikiniMbona unajikanyaga umetaka ushauri ,tumekushauri kila mmoja na rai yake ,umedai kwenye chaguzi za Rais ,mara wabunge mara Pemba,sasa nakushauri bora uanze na udiwani.
Inawezekana sikujieleza vya kutosha. Kwenye chaguzi naongelea ngazi zote. Mwanzoni nilisema chaguzi za rais ili kuonyesha time frame lakini si specific kwenye kura za rais. Nashukuru kwa rai yako, lakini lengo hasa si kujenga na kupita wizarani lakini kumpa yule au chama( kutegemea na maoni ya hoja) chenye(mwenye) malengo ya kuwanasua watanzania katika lindi la umasikini
Honestly ningependa kuona jamii inajikwamua katika umasikini na uwajibikaji wa viongozi, yote haya yakithibitishwa na uhalisia si takwimu au reviews za literatures. Labda hili swali linaweza kujibiwa na wale waliotoka mikoa ambayo kitakwimu anaonekana bora kuliko mingine, walichagua chama au mgombea? Labda we can generalise that to the national level.Swali zuri sana. Maana ukimchagua mgombea mzuri na chama chake ni kibovu basi ni tatizo. Na ukichagua chama bora lakini mgombea akawa hovyo basi napo ni tatizo. Mkuu swali lako lita tegemea na wewe mwenyewe mpiga kura unataka nini.
Mkuu hapa ishu si maneno "slogans" nzuri, ishu ni uhalisia.Basi itabaki palepale CCM maana malengo yao ni mazuri sana ..Maisha bora kwa kila Mtanzania...hiyo haijakutosha tu kuichagua.
Honestly ningependa kuona jamii inajikwamua katika umasikini na uwajibikaji wa viongozi, yote haya yakithibitishwa na uhalisia si takwimu au reviews za literatures. Labda hili swali linaweza kujibiwa na wale waliotoka mikoa ambayo kitakwimu anaonekana bora kuliko mingine, walichagua chama au mgombea? Labda we can generalise that to the national level.
Mkuu kwani unawafaham wagombea wa uchaguzi ujao au hiyo ni fixed variables throughout all elections. Kwamba bara isiwe CCM na ZNZ iwe CCM?..kwa Zanzibar chagua CCM.
..kwa Raisi wa Tanganyika/Muungano usichague CCM.
..kwa wabunge wa Tanganyika angalia sifa mgombea usiangalie chama.
bnhai said:Mkuu kwani unawafaham wagombea wa uchaguzi ujao au hiyo ni fixed variables throughout all elections. Kwamba bara isiwe CCM na ZNZ iwe CCM?
Ok kwa bara JK umemlinganisha na nani JokaKuu? Maana siwafaham wagombea wengine? Na Znz kama unaweza nidokeze though ninavote bara.bnhai,
..CCM inajulikana kwamba watamsimamisha JK. sasa huyu namjua kwamba he is not serious.
..Zenj, nadhani CCM ni afadhali kuliko CUF.
NB:
..baraza la wawakilishi Zenj inafaa liwe na majority CCM.