NImeipoteza haki yangu ya kupiga kura kwenye chaguzi za Rais mbili sasa hivi. Nafuatilia sana siasa lakini si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Tusaidiane katika hili;
Nimchague mgombea ambaye anafaa au nichague chama bila kuzingatia mgombea wa chama hicho anauwezo kiasi gani na amepatikanaje?
Ndugu,NImeipoteza haki yangu ya kupiga kura kwenye chaguzi za Rais mbili sasa hivi. Nafuatilia sana siasa lakini si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Tusaidiane katika hili;
Nimchague mgombea ambaye anafaa au nichague chama bila kuzingatia mgombea wa chama hicho anauwezo kiasi gani na amepatikanaje?
Soma vizuri hapo juu, nimeipoteza haki yangu vipindi viwili. Ndio miaka 18 hiyo? Otherwise nisingeipotezaKWELI UNAHITAJI ELIMU YA URAIA WEWE. nDIO KWANZA UMEINGIA MIAKA 18 HIVYO IAKUWA MARA YAKO YA KWANZA KU VOTE?
Nipo Ughaibuni lakini nitakuja kuvote. Kwamujibu wako hapo hatuwezi kutenganisha chama na mgombea?Ndugu,
1.Kama umepoteza haki-si uone kwamba haki yako inarejeshwa kabla ya kupiga kura haramu?
2.Upo nchi gani?
Yote hayo nafikiri yanamuangukia mchaguzi, mpiga kura, bila kujali chama au mgombea.
Kwa vile tunaenda na wakati, ni vizuri ukapitia unayotegemea kwenye chama na mgombea.
Kwa sababu zako, haitakuwa rahisi kwangu kukupa usaidizi wewote. Ila kwa sababu ninazozijua mimi; Uwezo wa Chama na Mgombea ni muhimu.
Nipo Ughaibuni lakini nitakuja kuvote. Kwamujibu wako hapo hatuwezi kutenganisha chama na mgombea?
Kwahiyo ni kama kufumba macho na pale kalamu itakapodondokea ndiyo nitie tick kwa mgombea huyo. Asante nimeelimikaKwa mujibu wa wa wanaasisi waliopita...ni sheria na miongozo iliyowekwa kwa ajili ya mazoezi hayo ya kupiga kura, ndio ya kufuatwa-vile vile ina ambatana na siasa mbadala na sehemu\nchi husika.
Ni vigumu ketanganisha matakwa ya chama na ya mwanachama! Vivyo hivyo ya chama na mgombea.
Nafikiri kama unazungumzia siasa za kwetu(sheria za uchaguzi na kadhalika...) bado kuna mengi ya kuridhia.
Basi jibu ni chama, maana kama utekelezaji ni ilani basi ni lazima nianze kujipinda kupitia ilani moja baadaye ya nyingine then hapo ndiyo nitakuwa salama kwenye kugawa kura yanguKamwe sitakushauri vibaya na siku zote inabidi tuwe wawazi, tatizo letu kubwa la watanzania ni unafiki,wengi huwa tunatenda tusiyo yaamini na tunaamini tusiyoweza kuyatenda.
Uchaguzi wowote ule inabidi uangalie mgombea ana uwezo gani na pili unaangalia chama, maana akichaguliwa itabidi aongoze kwa kufuata ilani ya Chama chake na siyo vinginevyo,lakini kama tungekuwa na flexible constitution ambayo mbunge au diwania anaweza kuacha chama chake na bado akaendelea kuwa mbunge, definetely 90% tungetakiwa kuangalia mtu na wala siyo chama, lakini kwa sasa huo ndo ukweli (Chama+Mgombea).
Mbona unajikanyaga umetaka ushauri ,tumekushauri kila mmoja na rai yake ,umedai kwenye chaguzi za Rais ,mara wabunge mara Pemba,sasa nakushauri bora uanze na udiwani.
Mwanzoni kabisa nimesema wazi sijawahi kushiriki uchaguzi wowote. Nilidhani jamvi lingenipa uzoefu. Nilikuwa nina maswali ambayo hayakuwa na majibu? Waliowahi kuwachagua wagombea na kuacha vyama( wapinzania) wamenufaika nini? Na waliochagua chama bila kuzingatia wagombea wamenufaika nini? Preferences zetu zinajengwa na chama au wagombea, wagombea na chama, au ilani za chama.Mheshimiwa nbhai tayari analo jibu bali amekuja hapa either kuona watu wanasemaje au na yeye aonekane tu angalau ameanzisha thread.
Mheshimiwa nbhai tayari analo jibu bali amekuja hapa either kuona watu wanasemaje au na yeye aonekane tu angalau ameanzisha thread.