JuniorDarilson_
Member
- Feb 19, 2024
- 55
- 66
Hahaa daah basi apo nishakusoma, ila vp kuhusu gofiber?? maam niliwacheki zuku wakaniambia huku bado hawajafika so option niliyo kuwa nayo ndo hao gofiberKabla sijakushauri kuhusu kupata hiyo service ya TTCL ebu nipe experience yako ya uvumilivu uliyowahi kupitia katika kusubiria kitu kwa muda mrefu.
Natumia Gofiber ni package yako tu, wako vizuri sana. Na wako fasta sana kutoa huduma.Hahaa daah basi apo nishakusoma, ila vp kuhusu gofiber?? maam niliwacheki zuku wakaniambia huku bado hawajafika so option niliyo kuwa nayo ndo hao gofiber
Installation fee ulilipia kma how much mkuu?Natumia Gofiber ni package yako tu, wako vizuri sana. Na wako fasta sana kutoa huduma.
Kwa mwezi bei gani na je ni unlimited?Natumia Gofiber ni package yako tu, wako vizuri sana. Na wako fasta sana kutoa huduma.
75k 20mbpsKwa mwezi bei gani na je ni unlimited?
Hii huduma ipo dar yote au ni maeneo yepi yana hii huduma kwa dar.?!!Napata raha duniani na GOFIBER. Wanatisha.
Ipo maeneo machache. Wasiliana nao for details. GOfiber - High Speed fiber internet for your Home - Dar es Salaam, TanzaniaHii huduma ipo dar yote au ni maeneo yepi yana hii huduma kwa dar.?!!
Ndo vitu gani hivo lov😊🤔??
Internet Fiber...Ndo vitu gani hivo lov😊🤔??
Ahaa kumbe! Santo sana kwa mwongozo!Internet Fiber...