Nichague ipi kati ya Mazda Demio na Honda Tit

Nichague ipi kati ya Mazda Demio na Honda Tit

zyuho

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
220
Reaction score
348
Wataalam na wanajamvi naomba kuuliza usafiri gani imara zaidi kati ya honda fit au mazda demio maana katika gari ndogo zinazo uzwa zenye bei cheap maana nimetembea kwa miguu miaka mingi kwakweli na mimi nataka niingie uchumi wa kati.

Sasa najua huku ntapata ushauri mazubuti kabisa maana sizifaam vizuri hizi gari na nimetokea kuzipenda.

NB: Sijawahi kumiliki gari wala chombo cha moto chochote.
 
Kwa ushauri wangu ,mm naona uchungue honda fit tena ukipat ile yenye hybrid a isee utakubali ,na utafaidi sana ....kilalakheri mkuu

sent from HUAWEI
 
Gari gan nzuri ya mtu ambaye hajawai miliki gari
Nunua gari ya taifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Toyota IST
Kwa sababu hizi
1.kwa kuwa sio mzoefu itakuwa rahisi kufanya service
2.mafundi wa nyundo wapo kila sehemu Ila sio toleo la 2008
3.spea ziko nyingi mtaani
 
Back
Top Bottom