Nunua probox uipandishe kdgo kama inchi 30 utajutia tenaNaombeni ushauri Kwa wazoefu,kati ya hzo gari ipi itanifaa mie naeishi kijijini kwenye Barbara mbovu?
Ungeweza nunua pickup ingekua bora ila kuna wkt unahitaji hela kuliko shepu.Tatizo hyo shape Huwa hainivutii kabsa.
CorollaNaombeni ushauri Kwa wazoefu,kati ya hzo gari ipi itanifaa mie naeishi kijijini kwenye Barbara mbovu?
Probox utalinganisha bei na passo?, vitz na corolla mkuu?Nunua probox uipandishe kdgo kama inchi 30 utajutia tena
Yoyote kati ya hizo isipokuwa PASONaombeni ushauri Kwa wazoefu,kati ya hzo gari ipi itanifaa mie naeishi kijijini kwenye Barbara mbovu?
Toka lini masikini anauchaguzi??Tatizo hyo shape Huwa hainivutii kabsa.