goodlif1600
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 805
- 877
π€£π€£Ungeweka hiyo new model ya mwaka gani, wabongo gari la 2004 linaitwa new model wakati lina 20yrs!! Huu upumbafu sijui alitukopesha nani tumlipe upumbafu wake
Tafuta gari unayoimuduNaomba kupewa wasifu wa gari hizi mbili Toyota Rav 4 kilitime na premio nataka nifanye maamuzi. Japo ni gari mbili zenye utofauti lkn nilichoangalia ni ulaji wa mafuta,upatikanaji wa spea na uimara wa gari husika kama ningekua vzr mfukoni ningechukua zote ila ndo ivyo napaswa kuchagua moja
ππJapo premio naikubari siku zote lkn huwezi kuishindanisha na rav 4 kilitime.!
Rv4 is superior.
Hujasema kama unamudu gharama za rav 4 imesimama zaidi....kama una ubavu nenda na rav 4 ....ninazo 2 mwaka 13 huu ingine mwaka 10....hutajuta
Mkuu ubarikiwe kwa muongozoHujasema kama unamudu gharama za rav 4 imesimama zaidi....kama una ubavu nenda na rav 4 ....ninazo 2 mwaka 13 huu ingine mwaka 10....hutajuta
ShukraniJapo premio naikubari siku zote lkn huwezi kuishindanisha na rav 4 kilitime.!
Rv4 is superior.
Aisee..Kilitime Rav4 kwani we mchaga? Chukua premio bob ππ
NakutafutaAisee..
HahahahahahKilitime Rav4 kwani we mchaga? Chukua premio bob [emoji39][emoji3]
Karibu...Nakutafuta
Rav4 yako inaendeleaje jirani.Nakutafuta