R rmb JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 223 Reaction score 7 Dec 13, 2010 #1 Jamana hebu nisaidieni katika jambo hili, mbali ya tabia nzuri na kujiheshimu, uzuri wa wa mwanamke umeegemea kwenye nini zaidi kati ya umbo nzuri au sura? Sijajua nichague sura au umbo?
Jamana hebu nisaidieni katika jambo hili, mbali ya tabia nzuri na kujiheshimu, uzuri wa wa mwanamke umeegemea kwenye nini zaidi kati ya umbo nzuri au sura? Sijajua nichague sura au umbo?