Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Kutazuka ile 'Rural - Urban' migration. Watalii wa ndani kwa ndani watakuwa wingi kila mwaka, hehehe!Namba tano ndio yenyewe sio? Hahahaha. Ila watoto wakivaa vimini wanapendezesha mji eeh?
Sawa mkuu.Hapana! Usiweke hatimiliki, hata wakiiba bado yatatumika kwa maslahi mapana ya Watanzania! Hii ni nchi yetu sote.
Ndivyo Waafrika wengi tulivyo! 🤣Hata 2025 kiti haachii mtu ng`o laba covid-19 iingilie kati
Hebu utafute kule MMU title yake nadhani inasema jinsi alivyotaka kutolewa roho na mtoto Wa kwa Madiba huko!Sjapitia mkuu
Kabisa mkuu. Nitakufanya uwe mshauri wangu, naona na wewe una exposure flani ya kuifanya Tanzania iwe ulimwengu wa kwanza.Namba 1 usifyekelee mbali, boresha mifuko
Namba 5 nakubali👊🏽👊🏽👊🏽😁😁😁
Kwenye ubunge hapo sifa zaidi zinatakiwa ziongezwe including ukomo wa ubunge.
Namba 10 nakupa big up next prezidaa😁😁😁
Hela si wananchi wanatoa ushuru, na biashara kati yenu na nchi zingine zinaendelezwa?Aisee vipaumbele vyako havina tija
Unaongelea matumizi tu Ela utatoa wapi?
Hahahaha! Nipeni tu nchi wakuu. Si mliona upendo niliokuwa nao kwa Khumbu? Nitawapenda kama nilivyompenda shemeji yenu.Umetunyanyasa kwenye story ya khumbu tukikupa inchi itakua je hapo?
Mkimpa konda msafi madaraka, kwa mwaka wa kwanza kila barobaro lisilo na kazi atapelekwa Sauzi (SA) free akapige kazi huko. Waliobakia Tz nafikiri ndio hao watakao kua nazo! 🤣 🤣 🤣Umetunyanyasa kwenye story ya khumbu tukikupa inchi itakua je hapo?
Uwekezaji, ajira zitaleta hela mkuu. Hili ni swala la uchumi mkuu. Hela ina njia yake.Hela si wananchi wanatoa ushuru, na biashara kati yenu na nchi zingine zinaendelezwa?
✌️
😂 😂 😂Hahahaha! Nipeni tu nchi wakuu. Si mliona upendo niliokuwa nao kwa Khumbu? Nitawapenda kama nilivyompenda shemeji yenu.
Me naachia siyo waafrika wengi walivyo sema wewe ulivyo,mbona waliotangulia wameachiaNdivyo Waafrika wengi tulivyo! 🤣
Hata wewe ukiachiwa hutoki leo, au sio mkuu? 😂
✌️
Kabisa Mh Rais Konda mtarajiwa! [emoji1433][emoji1433][emoji1433]Uwekezaji, ajira zitaleta hela mkuu. Hili ni swala la uchumi mkuu. Hela ina njia yake.
Tukishaapishwa ule mwezi wa 11,2025 jioni kutakua na Tafrija pale pale kwa siku zote😁😁😁Kabisa mkuu. Nitakufanya uwe mshauri wangu, naona na wewe una exposure flani ya kuifanya Tanzania iwe ulimwengu wa kwanza.