Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
najua unanichana kwa vile nakuita mvaa dera.. acha kuvaa madera .mm nawachana hawa watu wawili Saint Ivuga na HR 666 hawana tofauti wanaropokwa tu linalowajia mdomoni ni hilohilo hawajui muhusika atapokea vipi
Hahahaha.... ndugu yangu Ivuga nataka nimgawe kwa dada yake espy maana sio kwa malalamiko hayo.Anza na rafiki yako Ivuga nadhani umeona malalamiko laivu bila chenga
Hata mi nakupendaga kweli
Hasa hio Avatar yako inanimarrrrrrlliza kweli
Lol umenichana mpaka nimepasuka chambu Mondray penyewe hapo dah anyway
Njoi basi utaipataHiyo hapana.strobeli lips itakuwa poa sana
We utakuwa dalalali wa wavuvi toka umesema unaenda mpaka sasa hujafikaHaya naelekea ziwani sasa punguza maswali.
Lines za daftari
Bas Daby nimekoma [emoji23]Bado kwnn unapenda kuharibiana lkn
Banange si ulisema una maziwa endelea tuNgoja nimuulize shunie
kula mtoto huyo yupo lonely.. kapenda avator .. ila ana jini mahaba namfahamuHahahaha.... ndugu yangu Ivuga nataka nimgawe kwa dada yake espy maana sio kwa malalamiko hayo.
Ila MaHo ila acha tu
Napakia nyavu na karabai then narudi mm ni mvuvi mshindikizajiWe utakuwa dalalali wa wavuvi toka umesema unaenda mpaka sasa hujafika
Na viroba tena au hampo Tanzania huku kwetu wamekataza
mfyuuuunajua unanichana kwa vile nakuita mvaa dera.. acha kuvaa madera .
Nitakuwepo leo.Nichane tu usogope
Halafu umekimbilia wapi sikuhizi sikuoni kuleeeee
Nakuchana
Si huku tunajipatia kitu inaitwa kachasa ukikosa hiyo tunapata power vyote vya malawiVya magendo vipo.unajua ishi sio kinywaji kilichopo bali ni pakeji yake.so tumebadilisha uhifadhi wake tumeweka kwenye vyupa
Tena koma kama ulivyokoma titi la mama yako.Bas Daby nimekoma [emoji23]
Hao hawanihusu bwana. Mm na wewe tu
Yupi!kula mtoto huyo yupo lonely.. kapenda avator .. ila ana jini mahaba namfahamu