Upo?Nashukuru jamani ahsante sana
Nimejaa teleUpo?
Sawa mkuu naona kila mmoja anakusifia tuNimejaa tele
Napenda vya motoBig up kwa Miss Chagga, huwa napenda uwazi wako ktk kutoa ushauri wa vitu mbalimbali kwa watu, popote ulipo agiza kinywaji baridi ukipendacho
Hahahaaa! Sio wote jamaniSawa mkuu naona kila mmoja anakusifia tu
Ila ni wengi maana naona hamna alie kuchana kwa ubayaHahahaaa! Sio wote jamani
Nawaheshimu karibia wana jf wote nadhani ndio sababuIla ni wengi maana naona hamna alie kuchana kwa ubaya
Sawa ila ataibuka wa kuja kukuchana maana watu hatufanani akiliNawaheshimu karibia wana jf wote nadhani ndio sababu
Nakupenda ata zaidi ya mahondaw haaaNawaheshimu karibia wana jf wote nadhani ndio sababu
Hahahhaaa hvyo huwa mwanzo wa matatizo mengineNapenda vya moto
Mm mwenyewe nakupendapoNawaheshimu karibia wana jf wote nadhani ndio sababu
Ni ngumu kumridhisha kila mtu hivyo haitakuwa jambo la kushangazaSawa ila ataibuka wa kuja kukuchana maana watu hatufanani akili
Nilivyo ona po nimekumbuka majirani zangu akina mwandosyaMm mwenyewe nakupendapo
Yaani kuumbee daby wangu jamani... Mmh!Hello members.!
Leo ni siku yako ya kumwambia chochote unachojisikia kumwambia katika nafsi yako, liwe zuri au baya awe tayari kulipokea, kwani leo ni siku ya kuyapokea maoni ya kila mtu humu ili tujirekebishe au kuongeza bidii.
Kwa hiyo MWAMBIE CHOCHOTE UNACHOKIFIKIRIA. Wee mwambie tu usiniogope na hutakiwi kukasirika.
Nianze na mods
Ban- sikuhizi kumekua na ban nyingi sana tofauti na zamani sijui tatizo ninini. Ukiingia jf tu unakutana na ban za kutosha yani kila kona ni ban ban ban ban duhhhhhhhhhhh.
Editing - kuna editing fulani hivi hufanywa na mods yani zimekaa tenge kweli kweli binafsi zinaniboa naona hata hazipendezi .
Saint Ivuga - huyu member huyu alikua na mambo ya ajabu sana kwa kupenda kuleta private issues jukwaani kitu ambacho nadhani si kizuri na ndiomana ikaitwa private message ( pm) na alikua na blah blah nyingi za kichonganishi lakini sikuhiz naona ameanza kubadilika. Safi.
Daby - Huyu nimpongeze kwa kwa kuwashika wadada kupitia hio Avatar yake inawashikaaa ndomana amekua sukari ya warembo MMU
Pia kwa Daby anaonekana kuongea na kila mtu kuchat na kila mtu kutaniana na kila mtu kaka wa watu hana mashauzi. Big up bro.
Wengine..........................
Nitarudi.
Hii ni chitchat jamani.
Karibuni katika nichane day.
Kweli mkuuNi ngumu kumridhisha kila mtu hivyo haitakuwa jambo la kushangaza
Ahsante sana mumy hata nami nakupendapo sana wa nyumbani.Mm mwenyewe nakupendapo
hahahhNilivyo ona po nimekumbuka majirani zangu akina mwandosya
mm sio wa chuga dearAhsante sana mumy hata nami nakupendapo sana wa nyumbani.