Nina mengi ya kusema kuhusu wewe
mahondaw...
Lakini sitosema mengi saaana... Coz you know where to find me so do i...
Nachoweza kusema umebarikiwa.. Nikimaanisha kwa kila kitu...
mahondaw na kwa mambo mengi sana...
Napenda sana unavyojitunza, kujithamini, unavyojiremba kwa ajili yangu... Unavyonidekea.. Na unavyojitoa kwa ajili yetu (mimi na wewe)... Na vile vile mapenzi unayaweza sana hongera...
Ndani ya JF unaongea na wengi kirafiki lakini nje ya JF you are very strict na hupendi mchezo... its only
mahondaw and
Smart911 ndiyo maana sina shaka na wewe... I love that...
Well all i can say... Nakupenda sana
mahondaw take care and keep in mind as you always do, that
Smart911 is totally in love with you...
Lots of kisses and hugs...
# Nacheka kwa dharaaaau #