Hili swala nimeona nimwambie maana avatar yake inanikera sana.Khaaaaaaa
Saint Ivuga upooo?? mtu wa pili huyu anakuchana.. Usikasirike lakinimm nawachana hawa watu wawili Saint Ivuga na HR 666 hawana tofauti wanaropokwa tu linalowajia mdomoni ni hilohilo hawajui muhusika atapokea vipi
navuta nyukiNa wewe unayeweka maua kwani hapa ni msibani?
Jina la kibantu halina hata chembe ya uzungu hahahahahaahMkuu nakuchana..... Una jina baya kuliko watu wote humu Jukwaani. Wewe na Nantombe Mushi. Hahaha
hahahhhhh nimecheka kwa sauti inakatisha stimu ganiHili swala nimeona nimwambie maana avatar yake inanikera sana.
Avatar ina katisha stimu.
Hahah...aya nakchagulia jina,jiite martinez de cuprebe.ila jina sio la nchi...Lol nitabadilisha basi
Hebu nichagulie basic jina gani lingine zuri la kike
kukasirika hawezi lkn lazima aambiweSaint Ivuga upooo?? mtu wa pili huyu anakuchana.. Usikasirike lakini
Mama wa Fursa nakuchana,hahahhhhh nimecheka kwa sauti inakatisha stimu gani
hahahahh kweli umenichana mzee wa fursa nitakuja kukutembelea pm kwako halaf mm sijatoka chuga ujueMama wa Fursa nakuchana,
Acha kubana bana kuja PM na wewe, nilikuwa mmoja wa waliokukaribisha kwa nguvu zote ulipotoka Chugga lakini umenizibia mlango. Jirekebishe. Hahahaha.
Itakuwa vema.hahahahh kweli umenichana mzee wa fursa nitakuja kukutembelea pm kwako halaf mm sijatoka chuga ujue
hahahahahh mzee wa fursa nini lkn nitaghaili kuja kukutembelea pmItakuwa vema.
Hukumbuki ulipotaka kujinanilii kwa kula ovyo? Hahaha
Basi nimeacha, njoo basi.hahahahahh mzee wa fursa nini lkn nitaghaili kuja kukutembelea pm
Jina Kama Mzizi wa dawa za kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]Endelea kuchana mi natafuta fundi wa kushona
Hata hivi umepatia ndo nanjimba mzizi wa sasa ya tumbo na kichochoJina Kama Mzizi wa dawa za kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126]