Habari wana JF,
Ni mara yangu ya kwanza ktk jukwaa hili jamani, nipeni ushauri katika hili.
Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Baba mkwe wangu alikuja kwetu kwa ajili ya kutibiwa toka mwaka jana. Ni mtu mzima kwa kweli takribani miaka 70. Kiukweli keshapona kabisa, na mkewe yuko kijijini. Nina msichana wa kazi ambae ni ndugu yangu, ana miaka 16 (undugu wa mbali).Juzi asubuhi kabla sijaenda job niliingia rum kwa dada na kukuta AMELALA NA BABAMKWE wangu full naked! Kwa vile walikuwa wamelala fofofo (mida kama ya 11 asubuhi) hawakunisikia. Nilirudishia tu mlango na kuondoka. Hadi sasa sijamuuliza yule ndugu yangu na wala mume wangu sijamwambia. Naona aibu hata kuwashirikisha watu wanaomfahamu huyu baba. Ebu nisaidieni jamani, nikae kimya au nifanyeje? Baba haoneshi hata dalili ya kurudi kijijini ingawa keshapona.
Nipeni ushauri wenu waungwana.