Nicheke au nilie?

Nashauri usimwambie mumeo km ulivyoshindwa siku ya tukio, pamoja na uelewa wa mumeo hili jambo ni zito,.....yaani bb kalala na huyu mtoto? Kwa nini hukunambia mapema? Umemchoka?
 


Taa nyekundu imewaka.Anti mbona sababu zimekuwa nyingi kuliko maelezo usomeki hata kidgo
Kumbuka umelileta swala lako hapa kuna watu wenye (I A)wanaopenda kusoma au kuandika JF kama sehemu ya burudani baada ya kazi ..

Kwenye nyekundu kuna ulakini uwenda umpendi mkweo unamtafutia sababu na unaelekea nitaandika siku nyengine
 
Baada ya ndoa nyie sio wawili tena bali ni mwili mmoja. Mshirikishe mumeo hilo suala sababu akigundua baadae kuwa ulikuwa unajua atafikiri kuwa wewe na binti mlikuwa na lengo moja
 
Du.Amakweli mwana wa adamu anakaribia kurudi, ee Mungu tuhurumie. Tafuta wazee wenye busara uwashirikishe, na kama ikiwezekana wazungumze nae. Pia ongea na mumeo kwani jambo lako ni lake ukimficha atagundua siku mimba ikitokea. Salaaale, heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Ni ngumu sana yaani huyo msichana wa kazi ameshazoea kuilaza ndani so hata huyo babu akiondoka lazima atafute mbadala usijeshangaa akawa mumeo.
Pia ujue watakuwa wameanza siku nyingi sana ingekuwa kuna mimba ingeshatokezea so its better umjulishe mumeo taratiibu ili baba mkwe aende kiutaratibu na msichana naye asichukue muda mrefu bila kuondoka manake naye sio wa kumuamini sana.
Mumeo inabidi utafute muda muafaka wa kuongea naye manake ww ndio unayemjua kuliko sisi ila usimfiche kwa hili ni vizuri mkashea
Hongera sana kwa kuwa mwanamke mwenye kifua cha kuhifadhi mambo manake ungekurupuka ungeharibu kila kitu.
 
Duh,Huyo bint nE haogopi? Babu Huyo akija kumfia kitandani wanadoo siata wehukaa, shosti usifiche hayo maradhi mueleze mumeo haraka iwezekanavyo na Huyo binti umfNyie safari ya kijijini sababu panya Hana urafiki....
 
Kweli hiyo balaa, Baba mkwe, we mshirikishe Babaa watoto!

ktk kumshirikisha mumeo uangalie hali yenu ya kimahusiano kwanza kwani kama mpo kwenya mtafaruko kidogo hawezi kukubali kabisa na atadhani ni visa tu so kuwa mwangalifu sana
 
Hauna simu ya kemeraa weee? Wavizie uwapige picha ili wakija kukataa usupport arguiments zako...

Na usisahau kutuwekea hiyo picha hapa kwenye jukwaa ili hata ukipoteza simu upate backup kiurahisi
 
najaribu ku-imagine 'sounds' alizopiga babu kwa huyo binti mpaka akaingia laini... or probably babu alimlilia binti kwamba bila hiyo kitu angeweza kupoteza maisha, so binti akamuonea huruma teh teh teh..
 
miaka 70 na miaka 16

siamini kama kuna kilichotokea, labda kugusa gusa tu.
Ila baba arudi kwake.
 
anamaliza au anatema tu mate twa nyoka??
Kwa imaginations zake huyo mzee alikuwa zaidi ya p.o.r.n star, kumbe huruma tupu

Tena huyo binti, afunguliwe NGO ya kulea wazee, anauwezo wa kufanya miujiza kwa wazee na kuwaongezea siku za kuishi.

Hahaha kongosho 70 mbona bado anamaliza kabisa
 
Jitahidi ufanye unaloweza mumeo ajue mwenyewe, asisikie toka kwako, maana wababa wapo sensitive sana kwa ndugu zao.
Akijua tu atakuambia ndo mpange mipango kwa pamoja. hutaeleweka ukimwambia mumeo halafu huna ushahidi.
pole sana
 

mzee kanogewa na katoto kabichi hako miaka 16?!! saa sita kabisa hako...anywe watu wa zima wa siku hizi hovyo kabisa kaa chonjo maana muda si mrefu unaweza kumuona anaanza kukufukuzia hata wewe bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…