Nicheki nikujengee kabati za jikoni n.k

Nicheki nikujengee kabati za jikoni n.k

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Habari zenu wakuu, nimekabidhi kazi kama inavyoonekana hapo.
Ni kabati za jikoni, hapo bado finishing tu ila kazi yangu nimemaliza.

Pia napiga plasta, kujenga, na ramani nachora pia kulingana na eneo lako. mengine kama hayo kwa bei nafuu.
kama unahitaji nicheki nikujengee 0624254690
NB: Nachora ramani bure kama uko serious karibu
images (14).jpeg
1730866327577.jpg
 
Hizo ni kabati za kujenga mkuu.
Hapo bado finishing tu (milango na marble kwa juu)
Tuombe uzima nitaleta picha zikikamilka,
Kazi yangu nimeishia hapo nawapisha watu wa milango na marble waendeleze kazi
Kwa hiyo nikikuchukua wewe inabidi niwachukue na hao wenzio?! We ungetutangazia kuwa kazi zote unafanya wewe...hivyo unachukua tena nawe unazigawa kwenye vitengo vingine
 
Kwa hiyo nikikuchukua wewe inabidi niwachukue na hao wenzio?! We ungetutangazia kuwa kazi zote unafanya wewe...hivyo unachukua tena nawe unazigawa kwenye vitengo vingine
Sawa mkuu uko sahihi! Ila sijasema uwachukue wenzangu,
Ni kama ujenzi wa nyumba, huyu anajenga boma, mafundi milango ni wengine, mafundi kupaua ni wengine, fundi skimming ni wengine pia.
Japo hiyo kazi anaweza kuishika fundi mmoja na akwa anawaleta mafundi kulingana na kazi.

Changamoto inakuja boss anaona kama katajiwa Gharama nyingi (gharama za jumla mpaka kukamilika)
Kwahiyo anaona bora leo alete fundi ajenge ukuta, kesho alete huyu apaue, keshokutwa atafute mwingine wa kuskim n.k
Samahani huo ni mfano japo ni gazeti
 
Back
Top Bottom