Kwa hiyo nikikuchukua wewe inabidi niwachukue na hao wenzio?! We ungetutangazia kuwa kazi zote unafanya wewe...hivyo unachukua tena nawe unazigawa kwenye vitengo vingineHizo ni kabati za kujenga mkuu.
Hapo bado finishing tu (milango na marble kwa juu)
Tuombe uzima nitaleta picha zikikamilka,
Kazi yangu nimeishia hapo nawapisha watu wa milango na marble waendeleze kazi
Sawa mkuu uko sahihi! Ila sijasema uwachukue wenzangu,Kwa hiyo nikikuchukua wewe inabidi niwachukue na hao wenzio?! We ungetutangazia kuwa kazi zote unafanya wewe...hivyo unachukua tena nawe unazigawa kwenye vitengo vingine
Ww ni fundi wa hii kazi?hii niliifanya kwangu hizi ni hatua mbalimbali mpaka finishing.
hapana hii kazi imefanywa nyumbani kwangu.Ww ni fundi wa hii kazi?
Kazi ni kipimo cha UTU
Ok sawa. Naomba uni PM namba zake uyo fundi.hapana hii kazi imefanywa nyumbani kwangu.
0758259794 namba ya fundiOk sawa. Naomba uni PM namba zake uyo fundi.
Asante.
KAZI ni kipimo cha UTU
Nilikuwa natafuta comment kama hii, nikahisi mimi sioni vizuri😂😂😂😂KAZI MBONA HAIVUTII HATA KIDOGO, SAMAHANI LAKINI