Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Nashauri Dodge Charger, Chevy Camaro, Nissan Maxima, au Toyota Camry.
ebu tushangae wote.... maana nlikuwa najiuliza mbona mi sijuiππππππ who are you??
una fedha kiasi gani?Wakuu mambo vepee!
Kama ambavyo mnajua, nimekuwa nikiendesha hii gari kwa muda wa miaka 2 na nusu. Nadhani huu ni muda muafaka wa kutoka kwenye Altezza.
Mnanishauri nichukue gari gani?
NB: Siuzi gari.
Natanguliza shukrani.
Million 23.una fedha kiasi gani?
Naomba niwe serengeti boy wako dear! Please!please!please!!Million 23.