Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn X?

Nichukue ipi kati ya IST na Corolla Runn X?

pitbull

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
596
Reaction score
184
Habari za jioni wadau,

Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?

Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote.
 
Habari za jioni wadau,

Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote
 
Runx na IST zote zinatumia engine moja. Tuki assume IST ni ile 1st gen.

NZ-FE VVTi

Kwahiyo kwa kuhusu spare, consumption, zote sawa tu.

Ila IST ina rough ride jaman, zile sunspension sijui za Sport car? Runx ipo smooth sana utainjoy.

Pia Runx ina low ground clearance kwahiyo jiandae kugonga chini kama unakaa mabondeni.
 
Habari za jioni wadau
Kijana wenu nimejichanga changa sasa nataka kuachana na dala dala nilikua naomba ushauri katika izo gari mbili nichukue ipi?? Nazungumzia zenye cc 1490 kwenye aspects zote
Heb Jarib kuiongeza na Hii premio kwenye hyo list yako
 
Back
Top Bottom