Nichukue IST au Belta?

Nichukue IST au Belta?

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari.

Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti inayofanana. Nishaurini niende kwa ipi?

Natanguliza shukrani[emoji1545]
 
IST.
 
Belta ziko chache itakusumbua vifaa vyake
 
Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari.

Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti inayofanana. Nishaurini niende kwa ipi?

Natanguliza shukrani[emoji1545]
IST ina power na haipati shida hata rough Road inapiga tu.
 
Back
Top Bottom