Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
IST.Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari.
Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti inayofanana. Nishaurini niende kwa ipi?
Natanguliza shukrani[emoji1545]
Kuagiza kaka, sema ist ni nyingi raod hadi basiMkuu samahani ni unaagiza au kwa mtu?
🙏🏿 barikiwaIst chuma cha pua,safsr popote
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏🏿 barikiwa
Hehehee! Kwenye parking, unaweza shindwa tambua yako ni ipi.Kuagiza kaka, sema ist ni nyingi raod hadi basi
Ist mkuu iko poa.Kuagiza kaka, sema ist ni nyingi raod hadi basi
IST ina power na haipati shida hata rough Road inapiga tu.Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari.
Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti inayofanana. Nishaurini niende kwa ipi?
Natanguliza shukrani[emoji1545]
Kila la kheri kula Matunda ya Jasho lakoAsanteni wakuu, nitaenda kwa ist
Kuwa nyingi usifanye kuwa kigezo... angalia uimara....Kuagiza kaka, sema ist ni nyingi raod hadi basi