Jentelomeni
Member
- Aug 21, 2023
- 11
- 64
Habari ya wakati huu wakuu kuna jambo linanitatiza hapa hii Hp 24 inch nataka kuuziwa 130k na hii lenovo 22 inch nauziwa 180k mimi na ubahili wangu nataka kupita na hii Hp ya 130k ila nahofu why inch 24 inauzwa bei kitonga alafu inch 22 inauzwa bei juu je tofauti ni hiyo frameless au kuna technology nyingine inazo hiyo Lenovo kwenye Hp hamna