Nichukue nafasi hii kuwakaribisha CCM

Nichukue nafasi hii kuwakaribisha CCM

Joined
Apr 11, 2024
Posts
24
Reaction score
55
Nichukue Nafasi Hii Kuwakaribisha Wananchi Walio Ndani na Nje Ya Nchi, Kuendelea Kujiunga Na Chama Cha Mapinduzi

Kuna Faida Kuwa Chama Cha Mapinduzi…
Miongoni Mwa Faida Hizo, Ni;
  • Kukujenga Kuwa Na Uwezo wa Kujiamini
  • Kukusaidia Kuongeza Ujuzi wa Akili na Vitendo, Kuhusu Mambo Mbalimbali
  • Kukunoa/Kukuoka Kuwa Kiongozi
  • Kukuunganisha Na Watu Mbalimbali Kutoka Sehemu Mbalimbali
  • Kukuweka Karibu na Fursa Za Kimaendeleo
  • Kukusaidia Kukuza Uzoefu Wako

Unawezaje Kujiunga Kuwa Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi???

- Fika Ofisi Ya Chama Cha Mapinduzi Iliyopo Karibu Nawe. Kisha Utaongozwa Kwa KATIBU wa Tawi Unalotokea.... Na Chini Ya KATIBU Tawi, Utaweza Kuandikishwa na Kupatiwa Kadi Ya Uanachama Hai wa Chama Cha Mapinduzi. Ambayo Ada Yetu Ya Uanachama Ni Shilingi 100/= Tshs Tu Kwa Mwezi, Na Kadi Ni Shilingi 300/=Tshs Tu!

- Lakini Pia, Ukipata Kadi Yako, Utaweza Kujisajili Kidijitali, Na Kupata Kadi Yako Ya Kidijitali Na Kuwa Mwanachama wa Kidijitali 📌

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI 🔰

Karibuni SANA ✍️

#KAZI
4B1B64ED-C428-425A-A4E7-60A59DC17382.jpeg
IENDELEE 🇹🇿
 
Uko vizuri tuingie katika mdahalo ambao utaleta tija kwa taifa la kesho
 
K
Akikubali kuingia kwenye Mdahalo Niite Mkuu!
Atoa faida za kujiunga na chama sasa nataka nione kama kweli kafaidika na chama hicho kupitia mambo aliyoyataja ili hatakama kuna vijana wanatamani kujiunga na CCM waone picha halisi.
 
Wenyewe wanakuambia Roma haikujengwa siku moja.

Mdada hakati tamaa ya kupost.

"Ipo siku yangu tuuu.." by Goodluck Gosbert
 
Back
Top Bottom