Nick Minaj amekataa kuchanjwa chanjo ya Corona

Nick Minaj amekataa kuchanjwa chanjo ya Corona

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Msanii au rapper maarufu duniani Kwa jina la Nick minaji amegoma yeye na familia yake kupatiwa chanjo ya Korona.
IMG_20210917_134627_038.JPG
IMG_20210917_134556_933.JPG

Source: Twitter.
 
Hii chanjo mbona tunataka kulazimishana

Kweli duniani ni ubatili mtupu
 
Anaogopa chanjo lakini haopgopi ma-PLASTIC SURGERY.

Siasa za kipumbavu na kutafuta kiki na attention.
 
Anaogopa chanjo lakini haopgopi ma-PLASTIC SURGERY.

Siasa za kipumbavu na kutafuta kiki na attention.
wewe ni mpumbavu kweli ...unataka kusema wewe unauelewa zaidi kuliko mtu ambaye yupo jikoni anayejua mambo chungu nzima ya nchi yake?!!!...kama umechanjwa wewe subiri mavuno yako after 7 years ...unamkasirikia mtu ambaye hataki kuamuliwa hatma ya maisha yake
 
Hata sisi Nikki Mbishi kagoma kuchanjwa 🐒
 
Anaogopa chanjo lakini haopgopi ma-PLASTIC SURGERY.
Siasa za kipumbavu na kutafuta kiki na attention.
Mwamba huyu si kaamua yeye au unataka ulichofanya wewe akuige kisa umedungwa sindano!.

Mnavyosema hali za binadamu maana yake nini?.
 
Back
Top Bottom