Nick Minaj atangaza kustaafu muziki ili aanzishe familia

Nick Minaj atangaza kustaafu muziki ili aanzishe familia

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mwimbaji wa miziki ya miondoko ya Hip Hop, Nick Minaj amewashangaza mashabiki wake hapo jana baada ya kutangaza kuwa anastaafu biashara ya Muziki ili aweze kuanzisha familia

Minaj (36) ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, japokuwa hajawahi kutoa taarifa yoyote kama ni mjamzito au ameshaolewa

Mwezi Juni 2019, alisema kuwa ana mpango wa kuoana na mpenzi wake, Kenneth "Zoo" Petty na mwezi Agosti 2019 alibadilisha jina analotumia Twitter kuwa Mrs. Petty ila hajawahi kuzungumza kama tayari wameshaoana ama la

Minaj aliyeanza safari yake ya Muziki miaka 10 iliyopita ameshinda tuzo sita za ‘American Music’ na pia ameshawahi kuwa mmoja wa watu katika orodha ya Watu 100 inayotolewa na Time mwaka 2016 ya Watu wenye ushawishi duniani
***********

Rapper Nicki Minaj took fans by surprise on Thursday with an announcement that she was retiring from the music business to "have my family."

Minaj, 36, gave the news to her 20 million Twitter followers, although she had not previously said she was either pregnant or married.

Minaj said in June that she planned to marry boyfriend Kenneth "Zoo" Petty, and in August she changed her Twitter name to Mrs.Petty but did not say whether a wedding had taken place.

The "Starships" singer burst onto the music scene 10 years ago with her first album "Pink Friday" and is known for her outspoken comments, feuds with other singers, colorful wigs and alter egos.

One of only a handful of female rappers, she won six American Music Awards, became a controversial judge on "American Idol" and was included on 2016 Time 100 list of the most influential people in the world.
 
Ni vyema, ni maamuzi yake. Ninayaheshimu.
 
So far, it's a wise decision , i dont see no problem on that, some else will rise up and grab the queen hiphop crown , she is wearing , eventually she will be completely forgotten . I hope she going to be the better mother to her children , Asante .
 
Atapumzika tu. Mziki napumzika kupo. Hata jf watu hupumzika baadae wanarudi. Ila kwa sasa rap wa kike wapo wengi wanakuja kwa kasi na ni under 30 tofauti na alivyoanza yeye.
 
Kama ni kweli..kila la kheri kwake
 
Uzi wa nick bila tupicha haunogi
Huyo na babybaba wake
rs_634x1024-181210043743-634-nicki-minaj-emd-121018..jpeg
 
Back
Top Bottom