Nick Minaj atangaza kustaafu muziki ili aanzishe familia

Ngoja tuone...

Hawezi acha muziki... Juzi tu katoka kurushiana maneno na Cardi B...

Cc: mahondaw
 
hivi mnatumia vigezo gani kumlinganisha Nick na Card B?
Cardi B ni habari nyingine mfuatilie vizuri utajua kuwa amefanikiwa kuizima nyota ya NICKI MINAJ ambaye nyimbo zake hata haziwiki sana kama zamani.
 
Nicky ana pesa nyingi sana, anaweza akafanya biashara nyingine akaendelea kupiga mikwanja. Na akitoa single baada ya kukaa nje ya game kwa muda lazima imlipe vilevile.
 
Cardi B ni habari nyingine mfuatilie vizuri utajua kuwa amefanikiwa kuizima nyota ya NICKI MINAJ ambaye nyimbo zake hata haziwiki sana kama zamani.

Sijui nyota maana yake nini, lakini kwenye huu muziki wa Hiphop Cardi B mi simwelewi,
 
So far, it's a wise decision , i dont see no problem on that, some else will rise up and grab the queen hiphop crown , she is wearing , eventually she will be completely forgotten . I hope she going to be the better mother to her children , Asante .
Ungeandika tu kiswahili
 
Cardi B ni habari nyingine mfuatilie vizuri utajua kuwa amefanikiwa kuizima nyota ya NICKI MINAJ ambaye nyimbo zake hata haziwiki sana kama zamani.
Muziki Huwezi Kuimba Muda Wote !

Nick Ana Miaka 36 Na Kashaimba Muda Mrefu Sana.

Cardi B Ndo Kwanza Anaanza Muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…