sipend show offhahaha...naona slim shady upo " Jf
mamtoni ni jambo la kawaida...nilisikia huyu dada ni mdau wa kugawa 0713 ....
Alikuwa ana tania tuu naona akasepa na kijijiKumbe..
Halafu, who am I to judge but, I can't picture these two together as lovebirds.
I could be wrong, lakini hainiingii kabisa akili for some reasons. [emoji2]
Yeah i think soHahah!, kwa kweli.
She did her upcoming album good tho..
Destiny mkubwa ana 24 sijui 25...Kwamba Nas ana mtoto mkubwa almost age ya Nicki?
mamtoni ni jambo la kawaida...
omg.... she was joking Nick is my best friend
View attachment 787364 na sio Mkubwa tu ni Mzuri pia.
analingana na klaree[emoji1]Aseeh!, Hongera kwake kuwa na mtoto mkubwa hivi.