Nicki Minaj exposes her boob at the Paris Fashion Week Show on 4th March 2017

Nick Manji....duh, kumbe huu ukoo upo mpaka US.
 
usishangae wiki ijayo tu (samahani kama tayari ipo mtaani maana mi mshamba) kuona mabinti wa Kibongo wakipanda mwendokasi au kujihudhurisha kwenye shughuli na hii "fashioni mpya".
 
Mkuu huyu Nicki Manji ana Undugu wa Kiushirikiano na Yusuph Mehboob Manji? Nimeangalia sana Headline yako sijataka kugusa katika Content. au ni Dada yake na Manji?
Mkuu soma vizuri, Sio Manji ni Minaj
 
Huyu mtoto na mwenzie Rihana huwa nawazimikia sn. Ngoja nitafte mawe lazima nile mmoja wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…