Nicki Minaj, "Wapendwa Wanaume, Wanawake hujiremba kwa ajili yao wenyewe"

Psychologically,mwanamke anapendeza kukoga wanawake wenzie....
Ukitafuta fedha ili umzidi Elon Musk unakuwa umepanga kumzidi Bakhresa automatically.

Ukipendeza wanawake wenzio ukawazidi kwa wanaume most likely umeua
 
Issue ni kuwa na muonekano wa mvuto kwa watu , hapo haingaliwi gender so Nicki aache ujinga
 
Asituchanganye, siku zote mwanamke yupo kwa ajili ya mwanaume, Mwanaume anakamilika kwa uwepo wa mwanamke. Avae magunia, anyoe kipara na kuvaa katambuga, hatimii bila uwepo wa mwanaume.

Nyeti bandia zinampa jeuri!.
 
Now Go.....

Thx for coming.....

Wanaendelea kutoeleweka hawa viumbe.
 
Point of order....🙋‍♂️
Wanaume hatupendezi, bali tunakua nadhifu na waranashati
 
Asituchanganye, siku zote mwanamke yupo kwa ajili ya mwanaume, Mwanaume anakamilika kwa uwepo wa mwanamke. Avae magunia, anyoe kipara na kuvaa katambuga, hatimii bila uwepo wa mwanaume.

Nyeti bandia zinampa jeuri!.
[emoji3][emoji3] nyeti bandia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…