Dah.....RIP Nico
Hivi katika hiyo picha........ni akina nani ambao hatunao tena
Kutoka kushoto ni:
Joshua Kilale, Ally Yusuph 'Tigana', Willy Mtendawema, Fomu Felician, Keneth Mkapa, James Tungaraza, Suleiman Mkati, Said Mwamba 'Kizota' na Steven Nemes.
Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
Willy Martin, Mohammed Hussein, Nico Bambaga, Jose Ayoub, Sanifu Lazaro, Edibily Lunyamila na Sekilojo Chambua.[/QUOTE]
RIP Niko
...Kizota na Tungaraza..Dah.....RIP Nico
Hivi katika hiyo picha........ni akina nani ambao hatunao tena
Mkuu hili jina lako ndio wewe mwenyewe au ni fake ID?Pumzika kwa amani Nicodemus Bambaga
Kila nikisikia hli jina naikumbuka klabu ya malindi ya zanzibar ikiwa katika ubora wake na ukwasi wa hali ya juu waliweza kuwatoa Yanga na kuwapeleka zanzibar
Leo masikini ya Mungu timu za zanzibar zimejichokea balaa
Mazishi yalifanyika 12 December 2010,so tusubiri arobaini yake.Msibani upo wapi? Mkoa/wilaya gani pls mtoa taarifa?
Mkuu sio mimi mwenyeweMkuu hili jina lako ndio wewe mwenyewe au ni fake ID?
So wewe ndo nteze John rungu og?Mk
Mkuu sio mimi mwenyewe
Ila ID ni orijino sio feki
Huyo atakuwa Nteze John Lungu wa Kiburugwa,maana Nteze Msomi ninaemjua Mimi hawezi kushindwa kuandika jina lake kwa usahihi.So wewe ndo nteze John rungu og?
Mkuu mbona kama povu linakutoka hahaaaaHuyo atakuwa Nteze John Lungu wa Kiburugwa,maana Nteze Msomi ninaemjua Mimi hawezi kushindwa kuandika jina lake kwa usahihi.
Hapo sawaMkuu mbona kama povu linakutoka hahaaaa
Mimi ni nteze john wa shiwinga mbozi songwe