In advance, stay tuned.Kwani tarehe 19.12.2026 imeshafika
Kuna nini hiyo tarehe ?Kwani tarehe 19.12.2026 imeshafika
MO29 imesaidia sana, tena sana.
Layore alivyo hamasisha na kushiriki MO29.
Kisha akarudi hewani Til Tok na kuendelea kupigania Tanganyika, ingekuwa mambo ya zamani ya Kutekana huyu asingerudi hai uraiani.
Wawaachie Polepole, Mdude na Lissu.
Tuanze na Tanzania au Tanganyika mpya iliyo huru na ya amani.
KitamboKwani tarehe 19.12.2026 imeshafika
Rais kiziwi na mipasho yake ya kulinda Amani akifikkri watanganyika ni wazanzibari Wala urojo, hivi Kuna mtanganyika gani anayejielewa angeweza kumpigia kura huyu Form 4 Failure kutoka Zenji??? Nafikiri huyu ndiyo atakuwa Rais wa mwisho KUIONGOZA Tanganyika kutoka visiwani
Mnampa kichwa sana siku zake ni chache sana hapa Duniani.Nitawarudia hapaZCO MAFWELE hajapita nae huyu??? Ni jambo la kumshukuru MUNGU kama Kamanda Mafwele amemuachia huyu jamaa.
Maana Kamanda akikukamata anakwambia Hana Maisha Tena maana yake unaenda kula risasi za kukuua.
Kamanda Mafwele watakuwa wamepita nae Nini??
Soka, Ben SananeMO29 imesaidia sana, tena sana.
Layore alivyo hamasisha na kushiriki MO29.
Kisha akarudi hewani Til Tok na kuendelea kupigania Tanganyika, ingekuwa mambo ya zamani ya Kutekana huyu asingerudi hai uraiani.
Wawaachie Polepole, Mdude na Lissu.
Tuanze na Tanzania au Tanganyika mpya iliyo huru na ya amani.
Kumzomea haimaanishi Heche hafanyi mambo ya kinyama. Wanateka na kuua halafu wanaisingizia serikali inayokuwa madarakani kwa wakati huo.
Acha kujifanya mjinga kwani hakuna KUKOSEA KWENYE uandishi komaa sana mafala haukuwepo Tanzania wakati anakamatwa?Kumbe mwaka wa 2026 umekatika yan 19.12.2026?